Washairi

Katika sehemu hii tunawatambulisha washairi ambao maandishi yao yamehifadhiwa hadi leo, yakiwa katika mfumo wa vitabu, diwani, mikusanyo ya mashairi au maandishi mengine yaliyorekodiwa. Kazi hizi hutuwezesha kuelewa kwa kiasi fulani fikra zao, lugha yao na ulimwengu wao wa kishairi.

Katika siku zijazo, kwa msaada na ushirikiano wenu, tutaendelea kuikamilisha sehemu hii kwa kuongeza majina na taarifa zaidi.

Sisi ni nani?